The Competition Lyrics - Kimya Dawson

Review The Song (0)“DELIVERANCE”
By slanngji .ft. Rebby Becky
[Verse one: slangji]
The beauty of life u gotta make it last 4 better
Coz nothing last forever
As I walk through the value of shadow of death
I never sleep; coz sleep is the cause of death
(It’s hard to start right
It’s sad to start fight
I see angle on me
Demons below me
It’s hard to start right
It’s sad to start fight
I see angle on me
Demons below me)

[Chorus #one Rebby Becky]
Deliverance …….. What people say
Deliver…… what people want
Deli….
Deli….
Deliverance……..
(And what people need)
Deliverance …….. Cammon cammon
Deliver…… yeah!
Deli….
Deli….
Deliverance……. .×2

[Verse two: slangji]
Hakuhusu ninavyo kaa
Mziki ninavyo paa
Maisha Ni ya ghetto
Msaliti Ni we petro
Sheria amuna kwao
Wazimu pia Na hawo
Furaha siyo mfano
Ukabila ndio kwao
Hardko nishafia, Ukweli Na WA hakika
Kadiri nashika
Furaha Kwa halaiki
Upendo Kwa mashabiki
Kipaji Ni kuriziki
Muda amuna weeki
Mimi Na hii mziki
Kusplit Ni mukiki
Kutafuta sio kiasi
Kwa makini mufilisi

[Chorus #two Rebby Becky]
[Verse two: slangji]
Maisha chini ya jua
Nivita ma machafuko
Wadamu Na vituko
Maisha amuna ubadiliko
Kuna laana Na matabiko
Kutonyaswa Na uteso
Kukatwa Na panga
Kuchinjwa Na anger
Watoto kutupwa
Nyumba kchomwa
Kushikwa kufungwa
Polisi Na sisi
Buduki Na lisasi
Kukufa
Wamama, Watoto
Vijana, Wazee
Tumechoka.

[Chorus #three Rebby Becky]
[Verse three: slangji]
Armani Kwa wasela
Armani Kwa viongozi
Armani siyo kungoja
Armani Ni umoja
Ni upendo tuna ‘taka c uteso Na machafuko
Ni upendo tuna’ taka c ubakaji Na mauwaji
Ni upendo tuna’ taka caduwi Na uchawi
Ni upendo tuna’ taka c gezo Na fukizo.


[Chorus #three Rebby Becky]
[Verse three: slangji]

[Chorus #three Rebby Becky]
[Verse three: slangji]

[Chorus #three Rebby Becky]
[Verse three: slangji]

Click here to submit the Corrections of The Competition Lyrics
Please Click Here to Print The Competition Lyrics
Thanks to slangji for submitting The Competition Lyrics.

The following area is only for review, if you want to submit the lyrics or the corrections of the lyrics, please click the link at the end of The Competition Lyrics.
Your Name:
(Important: Your name will be published if you input it)

Review for The Competition Lyrics
------ Performed by Kimya Dawson

Please enter a title for your review:

------ 11/23/2014

Type your review in the space below: